“Niroge” - Vanessa Mdee

Niroge - Vanessa Mdee
Tanzania's dynamite is back at it again with her brand new single 'Niroge' off of her upcoming debut album Money Mondays. Niroge which is Swahili for compel me or bewitch me, is a coming of age love song about a love so strong that one would assume she was under a spell. It depicts what is also known as Ride or Die love. Written by Vanessa Mdee and Barnaba (who also wrote Vanessa's 2015 AFRIMA Award Afro Pop song of the year Hawajui) and Produced by Tanzania's Award winning Producer Nahreel at The Industry – Tanzania.

➧Vanessa Mdee


Plays : 91,571
Downloads : 106,346
Album (All Songs) : Money Mondays

Like us on Facebook:

“Niroge” Lyrics

Raha ya nyumba mwanaume Wacha nikutunze Nyumba yetu tuipambee Hapo nyuma tulishindiaga mabwende, karanga na makande Ugali dona sembe Usinune kwa maneno ya majirani wanoko Hawaishi longo longo Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong'oto Jamanii sielewi Baby you are Ukimuona furaha Tele moyoni Nkimuona tabasamu usoni ×2
Naomba muniroge Naomba muniroge Kwani mapenzi matamu ×2
Sikusifii we mwanaume nguzo Ulishndaga vikwazo tangu mwanzo Ulipambna na wenye nazoo Ili niwe Mali yako Leo kula vyako You are my dreams in my life hata mie moyoni we ndio unanifaa Usinune kwa maneno ya majirani wanoko Hawaishi longo longo Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong'oto Jamanii sielewi Baby you are Ukimuona furaha Tele moyoni Nkimuona tabasamu usoni ×2
Naomba muniroge Naomba muniroge ×2
Kwani mapenzi matamu ×2
To the left to the right(spending my life... kwani mapenzi matamu) Ukimuona furaha Tele moyoni Nkimuona tabasamu usoni ×2
Naomba muniroge Naomba muniroge ×2
Kwani mapenzi matamu ×2

Like Vanessa Mdee's “Niroge”? leave A Comment

This Week's Most Popular