“Juu” - Vanessa Mdee & Jux

Juu - Vanessa Mdee & Jux

➧Vanessa Mdee


Plays : 38,569
Downloads : 41,256
Album : N/A

Like us on Facebook:

“Juu” Lyrics

[Verse 1 - Vanessa]
Kuna muda mi nashindwa
aaah!
Kufanya vitu vingi kwako
Natamani kutimizaaa
Mmmh! Mh! Mmmh!
Ila moyo unajua jinsi gani navyotaka masaa nawewee x2
Ooooh! Oh! Oh! Ooooh!
Nasio kama navunja yako heshima
I think about you all day
Nausione nadhalau sababu ya jina
I think about you only baby

[Kiitikio]
Aaah! Ah! Ah! Aaaaah!
Nikipata umepata mama tunakwenda juu (jux)
Aaaaa! Ah! Ah! Aaaah!
Nikipata umepata baby tunakwenda juu! (vanessa)
Aaaaa! Ah! Ah! Aaaah!
Nikipata umepata mama tunakwenda juu (jux)
Aaaaa! Ah! Ah! Aaaah!
Nikipata umepata mama tunakwenda juu baby eeh! (jux & Vanessa)
Juu bady!mmh (vanessa)

Yeh yeh
Jux baby (jux)

[Verse 2 - Jux]
Upendo wetu ndio muhimu
Kuwa pamoja mi na wee
Usijenipa wazimu
Kisa nakupanda wee!
Ila jua nafsi yangu
unayo wewe (vanessa)
Na kila kitu changu
Nichako wewe (vanessa)
Oooh! ama mia
Naumia vanessa mdee
Ukienda nitaumia yeeeh!
Nausione navunja yako heshima yeh yeh!
Nausione nadhalau sababu ya jina
hey yeh!

[Kiitikio]
Aaah! Ah! Ah! Aaaaah!
Nikipata umepata mama tunakwenda juu (jux)
Aaaaa! Ah! Ah! Aaaah!
Nikipata umepata baby tunakwenda juu! (vanessa)
Aaaaa! Ah! Ah! Aaaah!
Nikipata umepata mama tunakwenda juu baby (Jux)
Aaaaa! Ah! Ah! Aaaah!
Nikipata umepata mama tunakwenda juu baby eeh! (jux & Vanessa)
Juu baby! Mmmh (Jux)

[Vanessa]
Ooh mama mia nakupanda juma wee
Ukiniacha nitalia eeeh!

[jux]
(Forever me and you you you you you
Everthing we do do do do do
You my baby bo bo bo bo bo
It just me and you you you you you) x2

[Vanessa]
Am think about you you you you you
Everything you do do do do do
Only about you you you you you
Ooh ma baby you you you you you
Am think about you you you you you
Oooh ma baby bo bo bo bo bo
Only about you yo youyouyouyouyouyou…
Nikipata umepata tunakwenda juu baby eeeh! (Jux)

Like Vanessa Mdee's “Juu”? leave A Comment

This Week's Most Popular