“Shake Yo Bam Bam” - Sauti Sol

Shake Yo Bam Bam - Sauti Sol

➧Sauti Sol


Plays : 39,757
Downloads : 48,130
Album (All Songs) :

Like us on Facebook:

“Shake Yo Bam Bam” Lyrics

one
(Bien)

Je veux danser mama
Ongayo ngayo ngayo ngayo mama
Take you down town to disco
Chini kwa chini kiuno
You're my fire my desire nakupenda

(Chimano)

I wanna see the ladies lose control
So turn around give it to me, give it to me baby passionately

(Savara)

Nalingio mama wamanya ndakhuyanza you're my fire my desire nakupenda

Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam

Hapoo

Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam

Hapoo

two

(Savara)

Kaa rada, karau wanapita na bash imeshika na drinks zamwagika kaa rada
Samba ni ku samba, samba ni kusamba
Ju madame wa mtaa wanapenda chapaa na machali wa mtaa wanapenda kuchana sa unapata mabudah wanasare mamatha na mamatha wa mtaa wanakata vijana
Oh Afrika Afrika nakuombea watoto wako wasizidi kupotea urembo wako usizidi kudidimia
Nalingio mama wamanya ndakhuyanza you're my fire my desire nakupenda
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam
Hapoo
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam kwenda sukuma …
Shake your bam bam
Hapoo

Like Sauti Sol's “Shake Yo Bam Bam”? leave A Comment

This Week's Most Popular