“Mapenzi Basi” - Diamond Platnumz

Mapenzi Basi - Diamond Platnumz

➧Diamond Platnumz


Plays : 161,045
Downloads : 225,917
Album (All Songs) :

Like us on Facebook:

“Mapenzi Basi” Lyrics

Ubeti wa 1.
Yalinifanya nikaugua
Mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Oh sikulala, sikulala
Oh maradhi nikaugua oh
Yakanichoma na kuungua roho
Kutwa nawaza na kuwazua
Sikulala, sikulala

Kibwagizo:
Hayo mapenzi bwana
Hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nishagombana
Nikatukanwa
Lakini akanipiga teke, ai
Haya mapenzi bwana
Hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nikagombana
Usiku mchana
Yeye

Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Basi, basi sitaki (mara 2)

Ubeti wa 2
Oh nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwagia radhi
Sababu yule fulani
Wa moyo wangu
Yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa simba na panzi
Vurugu kwa majirani
Ai eh Mola wangu

Rudia kibwagizo
(Haya mapenzi bwana
Hayana maana yalinifanya mi nichekwe.........)

Salaam ziwaendee nyote mmpendao Diamond, Rais wa Wasafi.

Like Diamond Platnumz's “Mapenzi Basi”? leave A Comment

This Week's Most Popular